R Ridh1 Member Joined Nov 20, 2017 Posts 32 Reaction score 67 Aug 18, 2022 #1 Aliyekuwa kipa wa Young African SC(Yanga) Ramadhani Kabwili amesainiwa katika club ya RayonSport(Rwanda) yenye maskani yake Katika jiji la Kigali. Kabwili amepewa kandarasi ya mwaka mmoja ambayo ataanza kuitumikia katika msimu huu mpya unaoanza. Kila la kheri kwake kijana
Aliyekuwa kipa wa Young African SC(Yanga) Ramadhani Kabwili amesainiwa katika club ya RayonSport(Rwanda) yenye maskani yake Katika jiji la Kigali. Kabwili amepewa kandarasi ya mwaka mmoja ambayo ataanza kuitumikia katika msimu huu mpya unaoanza. Kila la kheri kwake kijana
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,277 Reaction score 108,284 Aug 18, 2022 #2 Atulie acheze mpira
Sifi Leo Platinum Member Joined Mar 30, 2012 Posts 5,940 Reaction score 10,820 Aug 18, 2022 #3 Hahahahaah
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,512 Reaction score 15,146 Aug 18, 2022 #4 Ile kitu kaacha?
Medecin JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,582 Reaction score 23,572 Aug 18, 2022 #6 Fala huyo
bullar JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 10,345 Reaction score 23,433 Aug 18, 2022 #8 balibabambonahi said: Ile kitu kaacha? Click to expand... Hivi ilikua ni kweli au maneno ya waswahili
balibabambonahi said: Ile kitu kaacha? Click to expand... Hivi ilikua ni kweli au maneno ya waswahili
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 38,900 Reaction score 28,013 Aug 18, 2022 #9 bullar said: Hivi ilikua ni kweli au maneno ya waswahili Click to expand... Picha linaanzia hapa
M Mdukuzii JF-Expert Member Joined Jun 27, 2022 Posts 2,552 Reaction score 6,449 Aug 18, 2022 #10 Wamebaki watano pale jangwanj Aache kale kamchezo sasa
Huyu Mimi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2019 Posts 2,575 Reaction score 2,120 Aug 18, 2022 #11 Kila la kheri kwake.
Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 7,376 Reaction score 16,537 Aug 18, 2022 #12 Wanajua CV yake ?
Zainab j JF-Expert Member Joined Sep 24, 2018 Posts 1,816 Reaction score 2,368 Aug 18, 2022 #13 bullar said: Hivi ilikua ni kweli au maneno ya waswahili Click to expand... wanamsingizia tu,dogo Wala sio choko, Angekuwa analiwa asingeweza kucheza mpira
bullar said: Hivi ilikua ni kweli au maneno ya waswahili Click to expand... wanamsingizia tu,dogo Wala sio choko, Angekuwa analiwa asingeweza kucheza mpira
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 16,286 Reaction score 31,675 Aug 18, 2022 #14 Mdukuzii said: Wamebaki watano pale jangwanj Aache kale kamchezo sasa Click to expand... Kama mnafungwa na machoko nyie ni machokest
Mdukuzii said: Wamebaki watano pale jangwanj Aache kale kamchezo sasa Click to expand... Kama mnafungwa na machoko nyie ni machokest
FK21 JF-Expert Member Joined May 27, 2019 Posts 8,924 Reaction score 11,305 Aug 18, 2022 #15 Atufigwegwe god said: wanamsingizia tu,dogo Wala sio choko, Angekuwa analiwa asingeweza kucheza mpira Click to expand... Kuna mchezaji adelayde Austria ni shoga Na kuna jamaa kigamboni anacheza beki kazi kazi balaa ila ni shoga
Atufigwegwe god said: wanamsingizia tu,dogo Wala sio choko, Angekuwa analiwa asingeweza kucheza mpira Click to expand... Kuna mchezaji adelayde Austria ni shoga Na kuna jamaa kigamboni anacheza beki kazi kazi balaa ila ni shoga
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 16,286 Reaction score 31,675 Aug 18, 2022 #16 FK21 said: Kuna mchezaji adelayde Austria ni shoga Na kuna jamaa kigamboni anacheza beki kazi kazi balaa ila ni shoga Click to expand... Kwa nature ya football mazoezi yake ni ngumu sana gay kuhimili
FK21 said: Kuna mchezaji adelayde Austria ni shoga Na kuna jamaa kigamboni anacheza beki kazi kazi balaa ila ni shoga Click to expand... Kwa nature ya football mazoezi yake ni ngumu sana gay kuhimili
FK21 JF-Expert Member Joined May 27, 2019 Posts 8,924 Reaction score 11,305 Aug 18, 2022 #17 ukikaidi utapigwa2 said: Kwa nature ya football mazoezi yake ni ngumu sana gay kuhimili Click to expand... Usikalili kila shoga ni laini laini
ukikaidi utapigwa2 said: Kwa nature ya football mazoezi yake ni ngumu sana gay kuhimili Click to expand... Usikalili kila shoga ni laini laini
cleaner wrasse JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 9,055 Reaction score 10,047 Aug 18, 2022 #18 Mdukuzii said: Wamebaki watano pale jangwanj Aache kale kamchezo sasa Click to expand... Mchezo gani huo mzee baba
Mdukuzii said: Wamebaki watano pale jangwanj Aache kale kamchezo sasa Click to expand... Mchezo gani huo mzee baba
Nkulu wa nchito JF-Expert Member Joined Dec 13, 2019 Posts 1,779 Reaction score 2,167 Aug 18, 2022 #19 FK21 said: Kuna mchezaji adelayde Austria ni shoga Na kuna jamaa kigamboni anacheza beki kazi kazi balaa ila ni shoga Click to expand... Austria iko bara la Ulaya sema Australia ndyo kuna hiyo timu
FK21 said: Kuna mchezaji adelayde Austria ni shoga Na kuna jamaa kigamboni anacheza beki kazi kazi balaa ila ni shoga Click to expand... Austria iko bara la Ulaya sema Australia ndyo kuna hiyo timu
daraja la kigamboni JF-Expert Member Joined Apr 28, 2016 Posts 3,342 Reaction score 3,229 Aug 18, 2022 #20 bullar said: Hivi ilikua ni kweli au maneno ya waswahili Click to expand... Maneno ya watu tu