~*Ramadhan njema ndugu zangu*~

ngwilulupi

Member
Joined
Jul 10, 2009
Posts
10
Reaction score
1
Nawatakia wana jamii wote mfungo mwema.Mungu atupe nguvu tumalize salama.
 
sasa wa kuuliza kivipi sio wewe!! wewe ndiye uliye uliza swali, unataka kuniambia ulikuwa hujui unauliza nini???

Wewe bana usilete kiswahili kirefu..Nimemuuliza mleta thread amalize yeye na nani?..wewe ukadandia treni kwa mbele na kuuliza kama swali langu ni zuri? na mimi nimekuuliza kivipi? Sasa kama unashindwa kufuatilia sentensi fupifupi kama hizi ukiletewa encyclopedia utaweza weye?
 
wanajamii wote?
Sisi wengine si mpaka mwezi uonekane ndio tuingie kwenye saumu lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…