~*Ramadhan njema ndugu zangu*~ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

~*Ramadhan njema ndugu zangu*~

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ngwilulupi, Aug 22, 2009.

 1. n

  ngwilulupi Member

  #1
  Aug 22, 2009
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nawatakia wana jamii wote mfungo mwema.Mungu atupe nguvu tumalize salama.
   
 2. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  sasa wa kuuliza kivipi sio wewe!! wewe ndiye uliye uliza swali, unataka kuniambia ulikuwa hujui unauliza nini???
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Wewe bana usilete kiswahili kirefu..Nimemuuliza mleta thread amalize yeye na nani?..wewe ukadandia treni kwa mbele na kuuliza kama swali langu ni zuri? na mimi nimekuuliza kivipi? Sasa kama unashindwa kufuatilia sentensi fupifupi kama hizi ukiletewa encyclopedia utaweza weye?
   
 4. B

  Binti Sayuni JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  wanajamii wote?
  Sisi wengine si mpaka mwezi uonekane ndio tuingie kwenye saumu lol.
   
Loading...