Moderators[emoji115] [emoji115] [emoji115]
Jibu ni jepesi sana....FIXBinafsi naona kma ilikuwa mchezo vile..!!! Maswali yng machache.
1. Ilipokamatwa, walijuaje kama ilithaminishwa pungufu wakati ilikuwa imefungwa..??
2. Je, wakati wanaikamata pale airport, ni nani pale airport aliyegundua thamani halali ya hyo almasi na kuamuru ikamatwe wakati ilikuwa imefungwa.
3. Mmiliki wa mali alikuwa wapi wakati leo mali yake ilikuwa inataifishwa.
4. Walipata wapi muda wa kuandaa WATU WOTE WALE, wkt serikali ipo bize muda wote..??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mnawatesa sana ma mods asee, kwanini hamfanyi proof reading kabla ya kutuma? Sasa wakimaliza kurekebisha kule juu warekebishe na kwako mrekebishaji!
Yaani serikali ikosee yenyewe kukukadiria, inakukamata kwa kosa ililolifanya yenyewe kisha inakutaifisha mali yako!Binafsi naona kma ilikuwa mchezo vile..!!! Maswali yng machache.
1. Ilipokamatwa, walijuaje kama ilithaminishwa pungufu wakati ilikuwa imefungwa..??
2. Je, wakati wanaikamata pale airport, ni nani pale airport aliyegundua thamani halali ya hyo almasi na kuamuru ikamatwe wakati ilikuwa imefungwa.
3. Mmiliki wa mali alikuwa wapi wakati leo mali yake ilikuwa inataifishwa.
4. Walipata wapi muda wa kuandaa WATU WOTE WALE, wkt serikali ipo bize muda wote..??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahaha.Yaani serikali ikosee yenyewe kukukadiria, inakukamata kwa kosa ililolifanya yenyewe kisha inakutaifisha mali yako!
Nawahakikishieni ujinga huu utasababisha tuzione Bomber F-35 in action.
Zitakujaje na zitatoka wapi subiri muujiza wako.
Chezo la kuigiza hilo......tunajitekenya na kucheka wenyewe......hujiulizi kwa nn ikamatwe siku tatu kabla ya report ya Tanzanite na Almasi kutoka?Binafsi naona kma ilikuwa mchezo vile..!!! Maswali yng machache.
1. Ilipokamatwa, walijuaje kama ilithaminishwa pungufu wakati ilikuwa imefungwa..??
2. Je, wakati wanaikamata pale airport, ni nani pale airport aliyegundua thamani halali ya hyo almasi na kuamuru ikamatwe wakati ilikuwa imefungwa.
3. Mmiliki wa mali alikuwa wapi wakati leo mali yake ilikuwa inataifishwa.
4. Walipata wapi muda wa kuandaa WATU WOTE WALE, wkt serikali ipo bize muda wote..??
Sent using Jamii Forums mobile app
Asiyekosea ni Mwenyezi Mungu tu.
Hahahahahahaha.Chezo la kuigiza hilo......tunajitekenya na kucheka wenyewe......hujiulizi kwa nn ikamatwe siku tatu kabla ya report ya Tanzanite na Almasi kutoka?
Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
moderator rejekebisheni tafadhali[emoji115]
Hahahahahaaa!Bado umekosea blaza.... Pupa ya nini...