Rais wa watu

Wengine husimamisha watu masaa matano. Rais yupo Dodoma nyie wa Chalinze mnawekwa pembeni musibiri mkubwa apite
 
Tukitaka wa nchi kutoka KWETU atembee kwa Miguu...aambiwe kuna watu (ofisi) wanagawana Mgao...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23]
 
Hatupangiwi sawa mleta thread huyo katembea wa kwetu ana uwezo wa kupiga push up
 
Hatupangiwi sawa mleta thread huyo katembea wa kwetu ana uwezo wa kupiga push up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…