Mbona mnakua na utoto mwingi kwenye Mambo mazito ya msingi!Huwezi kusema unataka kupindua serikali halafu uchekewe haipo hiyo duniani mpaka mbinguni.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Mtaujua huo upumbavu mahakamani. Shenzi sanaMbona mnakua na utoto mwingi kwenye Mambo mazito ya msingi!
Upumbavu!
Hujitambui kwa ujinga wako na unauonea fahari. Unajua madhara ya mtindo huu wa ku exaggerate mambo makubwa kama uhaini wakati hayapo?
Asipoelewa hapa atakuwa ameshindikanaJakaya Kikwete alishauri akiwa Rais kwa CCM kuhusu matumizi ya nguvu kujibu hoja kuwa hayasaidii zaidi ya kuharibu.
Sasa naona Rais Samia system yako imeshindwa kuelewa ujumbe huu nawe hutumii nafasi yako kuwaelimisha juu ya matumizi ya polisi na sasa wanakuharibia yote mazuri uliyojitengenezea ndani na nje ya nchi hadi sasa.
Unavyopambania bandari kwa kutumia polisi ndipo unakwama kabisa.
View attachment 2717849
Fashist nduli dikteta bint SuluhuHuwezi kusema unataka kupindua serikali halafu uchekewe haipo hiyo duniani mpaka mbinguni.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Tofautisha Samia na Urais. Urais ni Taasisi na Samia ni mwanadamu. Samia anaweza kuwa mpole au mnyenyekevu LAKINI taasisi ya uRais ambayo yeye ndiye msimamizi ikawa ni ya maguvu na kukosa uvumilivu.Jakaya Kikwete alishauri akiwa Rais kwa CCM kuhusu matumizi ya nguvu kujibu hoja kuwa hayasaidii zaidi ya kuharibu.
Sasa naona Rais Samia system yako imeshindwa kuelewa ujumbe huu nawe hutumii nafasi yako kuwaelimisha juu ya matumizi ya polisi na sasa wanakuharibia yote mazuri uliyojitengenezea ndani na nje ya nchi hadi sasa.
Unavyopambania bandari kwa kutumia polisi ndipo unakwama kabisa.
View attachment 2717849
Sheria ya vyama vya siasa ndivyo inataka, unaandika barua kwa OCD kumpa taarifa ya maandamno, na yeye akiona hakuna madhara kwa wananchi anakuruhusu.Kwani maandamano ni kupindua nchi? Mbona wale uvccm walioandika barua kabisa kwa polisi kuwa wataandamana nchi nzima hawajaitwa wahaini?
JK ni bingwa wa siasa.Jakaya Kikwete alishauri akiwa Rais kwa CCM kuhusu matumizi ya nguvu kujibu hoja kuwa hayasaidii zaidi ya kuharibu.
Sasa naona Rais Samia system yako imeshindwa kuelewa ujumbe huu nawe hutumii nafasi yako kuwaelimisha juu ya matumizi ya polisi na sasa wanakuharibia yote mazuri uliyojitengenezea ndani na nje ya nchi hadi sasa.
Unavyopambania bandari kwa kutumia polisi ndipo unakwama kabisa.
View attachment 2717849
Sema mission zetu nying hua ni impossible mission!! Nilishangaa san issue ya Mbowe ya Ugaidi mpaka kule BBC cha ajabu mkashindwa kumfunga gerezani? Huoni kama kimataifa mnaonekana mnafuga magaidi au ugaidi? Think twice!!Huwezi kusema unataka kupindua serikali halafu uchekewe haipo hiyo duniani mpaka mbinguni.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Eti kupindua nchi, hiyo ni hatua kubwa mno, na mara zote huwa siriHuwezi kusema unataka kupindua serikali halafu uchekewe haipo hiyo duniani mpaka mbinguni.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Halafu haipendezi mwanamke kuitwa dikteta dunia nzima utajulikana
Kwahiyo tuchukulie kuwa alikua anaitania serikali si ndio? Au alikua amelewa?Eti kupindua nchi, hiyo ni hatua kubwa mno, na mara zote huwa siri
Maneno kama haya yanapaswa kutoka katika kinywa cha mpumbavu na sio wewe maana natambua sio mpumbaf. Hoja yeyote huwa inajadiliwa bila kujali imetoka kwa nani The Boss ukiongea jambo la maana utasifiwa kuwa umesema ya maana, lakini sio permission ya wewe ukiongea pumba usipigwe mawe! JK kama Rais penye tick atapewa na ubovu atatumika pia kama rejeaBasi hapa Kikwete anakuwa Rais wa mfano ..na kusifiwa.,...
Halafu baadae Utasikia Kikwete tena anatukanwa na hawa hawa wanaomsifia hapa hapa.....
Na kuitwa kiongozi wa ovyo ....
Mradi Kikwete ana faida kwenye agenda zao anakuwa wa mfano...akipingana na hoja zao anakuwa hafai kabisa
Umeonaa eeeh! Hata Magufuli wanamtumia hivyo hivyo. Utasikia wanasema "pamoja na kukanyaga demokrasia Magufuli asingeuza bandari"Basi hapa Kikwete anakuwa Rais wa mfano ..na kusifiwa.,...