[emoji1374] ubarikiwe mkuu kwa hilo. Msaidie kijana mwenzetu huyuduuuh NJOO INBOX
View attachment 1978514
Asante mkuu nimekuona!duuuh NJOO INBOX
View attachment 1978514
Ewe mtaalamu wa uchumi, kwenye uchumi kuna kitu kinaitwa "diversification of capital" hii concept uliitumia vipi wakati duka likiwa kwenye hali nzuri?Shikamoo Mheshimiwa Raisi Mama Samia!
Mimi ni kijana muhitimu wa Elimu ya chuo Kikuu nikiwa na Degree ya Uchumi pamoja na Diploma ya Uchumi. Nimehitimu chuo mwaka 2012 hapa hapa Tanzania ila kwa bahati mbaya sikupata ajira sehemu yeyote hadi leo hii.
Nilikuwa na biashara yangu ya duka ambayo ilikuwa ni tegemezi kwa familia yangu ila kwa sasa biashara hiyo imekata mtaji kabisa baada ya wezi kuvunja na kuchukua vitu vyote na kubaki nikiwa mtupu. Naomba nisaidie mama nipate ajira yeyote nakuaahidi kutokukuangusha Mama yangu nisaidie mwanao ambae kwa kweli maisha magumu sana kwangu.
Okoa Familia yangu ambayo ambayo ipo mbioni kubomoka kutokana na ugumu wa maisha yangu kwa kukosa ajira na kutokuwa na mtaji wowote kwa sasa. Natanguliza shukrani za dhati upatapo ujumbe huu.
we jamaa brilliant sana, sina hakika kama atakuja na jibu lililonyooka.Ewe mtaalamu wa uchumi, kwenye uchumi kuna kitu kinaitwa "diversification of capital" hii concept uliitumia vipi wakati duka likiwa kwenye hali nzuri?
Sawa kiongozi nimeelewa.Mkuu nipo hapa kuomba msaada na nashida we elewa ivyo inatosha.
Ewe mtaalamu wa uchumi, kwenye uchumi kuna kitu kinaitwa "diversification of capital" hii concept uliitumia vipi wakati duka likiwa kwenye hali nzuri?