Rais Samia na Tundu Lissu

Unaweza kuta mama na lissu lao moja kwenye kifo cha mzeee.
 
Mama Safi Sana ,hii dunia tunapita ,Haina haja ya kuvinbiana
 
Unaweza kuta mama na lissu lao moja kwenye kifo cha mzeee.
Nilijua mtakuja na maneno kama haya. Kawaambie Lumumba CHADEMA walishirikiana na mama kumuua Magufuli na ili kudanganya Dunia wakamuundia Mbowe kesi ya mchongo.
 
Hapo Lissu anasema kimoyo moyo wewe subiri kipindi cha uchaguzi utanijua vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…