Rais Samia ameniblock huko X

Yeye hata haendeshi hizo account za kijamiii ! Hiyo ni kazi ya kurugenzi mawasiliano ikulu,,, kuna admin ambao huwa kazi yao ni kudeal na mitandao !
Wakiambiwa wajinga hawaelewi I've raisi aje akamate simu alumbane na ww mnuka mikojo
 
ana haki ua kukublock kwa uongo wako
 
Sawa tu.. Eeeeeeeeh
😅😅😅😅
Humu ulikuwa shabiki hadi picha yake ikawaka kwako.. Kuanzia March'21.

Ulishasema kwanini uligeuka ghafla..

Kazi iendeleeee...
 
Mambo ya bandari kupewa wahuni,wahuni wengine watapewa kibali kuchimba madini mbuga ya Serengeti na Mikumi gesi ndio hiyo hakuna hata mia tunapata sasa wanataka na roho zetu aisee kazi ipo niliumia sana kusikia wale vijana wa Mbeya walivyotekwa kirahisi na kupotezwa pamoja na yule Mzee alieshushwa kwenye Bus likiwa na abiria sijui huko aliko anawaza nini kwa haya mambo yanayotokea aisee inaumiza sana kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…