Rais Samia Ameleta Mapinduzi makubwa katika Sekta ya Madini,Wachimbaji wadogo ndio wanufaika wa Mapinduzi hayo

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
6,725
Reaction score
13,747
Wakuu,

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.

Mwanzo katika awamu zingine wachimbaji wadogo hawakuwa wananufaika sana na sekta hii kutokana na bei ya madini na sheria kuwabana

Imagine gram 1 ilinunuliwa kwa Tsh laki1 lakini sasa hivi gramu hiyohiyo ya dhahabu inanunuliwa kwa laki mbili.

upatikanaji wa masoko ni wa uhakika na wizi umepungua.

kuna jamaa yangu ni mchimbaji mdogo wa madini ya dhahabu,amechimba tangu 2008 hakufanikiwa kupata kitu,lakini mwaka 2022 baada ya rais samia kuingia madarakani alifanikiwa kupata grams 500 za dhahabu na amekuwa tajiri mpaka sasa.

rais samia ameleta mabadiliko chanya katika sekta hii,tumpe mitano mingine aendeleze na aendelee kuibua utajiri kwa wachimbaji wadogowadogo kama jamaa yangu.

MUNGU ampe maisha marefu rais wetu kipenzi cha watanzania

LOVELY EMMY kwa sasa BUJUMBURA BURUNDI.
 
Ni kweli, si unaona mchimbaji mdogo Rostam anavyonufaika na Makaa ya mawe!
kila kinachofanyika nchini huwa kinafanyika kwa mikataba,mikataba hiyo hulenga kumnufaisha mwekezaji na Tanzania, Hata rostam unaedai anachimba makaa ya mawe nae anachimba kwa mkataba wenye maslahi kwa pande zote mbili.
tulia mkuu maendeleo sio taalabu.
 

Futungo si watu wazuri
 
Unauhakika?? Uko chimbo gani
 
Hapa ndio hua nawaambia watu kila siku
Wao wakiona rais mmbaya kuna wengine tunaona mchango wKe kwa hio lazima tumpe sapoti.
Ila michadema yao kazi kupinga pinga na kuita wTu chawa
 
Ni kweli, si unaona mchimbaji mdogo Rostam anavyonufaika na Makaa ya mawe!
Ona hata hpa unaleta chuki
Asa nyie mnataka maendeleo Gani kma kila kitu mnapinga.
Afu mnajiona wazalendo 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…