MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 20,897
- 63,784
naona dunia imepata viongozi walio sahihi kwa sasa na ambapo itapelekea kupungua/kuishiwa nguvu kwa makundi haya ya kigaidi
The year 2016 is coming to a close....??, i thnk this is ungrammatical, prove me wrong please.....Trump akiapishwa inabidi azuiwe kutumia social network,maneno ya shombo na kipuuzi yanashusha dignity yake,he has along way kwenye diplomasia na leadership!!
anaishi kama yupo Hollywood na Mange Kimambi!!
Maneno sahihi ya Putin katika Kipindi sahihi cha Zama za Mwanadamu....
Russia wamebahatika kuwa na raisi kama V.V.Putin
Tutegemee hivyo mkuu wangu,
Japo ugaidi umekomaa sana mpaka sasa na wanafadhiliwa na mataifa makubwa.
Ana watafututa wapiga diliHivi huyu mzee wa chato amekosa la kuongea kweli mwaka mpya
kwani alikua hayupo kwenye chati mkuu mbona hivi?Naona Putin anaanza kupanda chat kwa nguvu.