Askari wa jeshi la Marekani nchini Afghanistan amewekwa kizuizini baada ya kuwapiga risasi na kuuwa raia 16 wasio na hatia. Askari wa Marekani auwa raia wasio na hatia AfghanistanTaarifa ya NATO inasema askari huyo aliyekuwa peke yake alifanya mauaji hayo katika siku ya Jumapili,lakini wizara ya mambo ya Ulinzi ya Afghanistan imesema kuwa katika tukio hilo walihusika askari kadhaa nasi askari mmoja kana iliyotangazwa ,Waliouawa ni pamoja na watoto tisa na wanawake watatu. Rais Barack Obama wa Marekani ametoa taarifa akilaani mauaji hayo ya kinyama. Tukio hilo limetokea wiki chache baada ya maandamano makubwa kutokea baada ya tukio la askari wa Marekani kuchoma Quran Tukufu katika kambi ya Bagram nchini Afghanistan cyafaa kuashiria kuwa akari wa Marekani wamekuwa wakifanya matukio ya kinyama na yaliyodhidi ya haki za binadamu bila ya woga kwani hapo awali walikojolea maiti za raia wa Afghanistan na kisha kujisafisha kwa kuomba msamaha. sorcre. yahoo.com/us-soldier-kills-16-afghans-deepening-crisis-164242200.html