Hayo unayosema yanapaswa kufanywa na mtu au ni kama njia (DIRA) ambazo yoyote hata Robot akiingia pale inabidi atekeleze ?
Huenda kosa lingine ni kutemegea mtu ndio aje afanye mambo na kutokuwa na mambo ili mtu aje asimamie, kwahio tunachagua watu wa kutufanyia na sio kuhakikisha na kushiriki katika kufanya yale yanayotakiwa kufanyika kwa mujibu wa Dira ambayo inabidi tushiriki kuitunga; Short, Middle and Long Term...