Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,614
Viongozi 90% wameteuliwa ambao hawajafanya kitu kwa jamii kwa nguvu zao wenyewe. Huyo wa Kilosa alifanya nini kwanza?Mkuu, hizi teuzi zinakuja tu, wakati mwingine michongo na koneksheni pia vinahusika sana. Je, wewe kama wewe umeifanyia nini Kilosa? Au hapo ulipo tu mtaani kwako umefanya jambo gani ambalo tunaweza tukasema kweli unastahili?
Kwanini hajaboresha soko na stendi ilhali kila mwaka anaomba bajeti na anakusanya mapato?Kama stendi na soko la Kilosa mjini hapajaboreshwa ataendaje huko Mikumi
Eneojimbo la Mikumi kuna:-Mikumi pana kilimo gani mzeebaba?
Konekshen unayo au?😅usijisumbue bloo maDED wengi sio wabunifu,wanafanya Bora liende.Wanashindwa kuelewa DED ni Kama CEO wa kampuni kubwa.Natamani Rais angeniteua DED wa Kilosa au aipandishe hadhi Mikumi Mji kuwa Halmashauri ya Mamlaka ya Mji Mdogo yaani TC ili aniteue Mkurugenzi wake.
Mbona kwenye chaguzi wanakuwa wabunifu (active)?Konekshen unayo au?[emoji28]usijisumbue bloo maDED wengi sio wabunifu,wanafanya Bora liende.Wanashindwa kuelewa DED ni Kama CEO wa kampuni kubwa.
Hahahah si kutetea maslah yao.Mie naomba mama atoe mkeka wa maDED ,Kama huyu huku nilipo ni kimeo tuMbona kwenye chaguzi wanakuwa wabunifu (active)?