‪Rais Magufuli: Wakuu wa Mikoa wengine jifunzeni kwa Makonda. Tanzanite imeongezeka mara 30... Sijaja kuuza sura!‬

Of cose Magufuri haji na Maneno mapya yenye Future na Mwendelezo zaid ya kuludia yaleyale na Mipasho kwa sana Raha xana kuwa Rais wa Mitandao
 
Acha ujinga basi, sometimes tumia akili unapoamua kuazisha thread.
 
Fvck u
 
acha ujinzi wewe hapo kuna vipao mbele au kuna vipao nyuma tu
 
Makonda anasema Dunia sio ya Mungu? duh! anyway ni kwa wakristo pekee si ndio? but ajue matamshi yake ni ya kipumbavu endapo anaamini kuwa aliyeumba Dunia ni Mungu na kama haamini basi yupo sawa kuwa Dunia si ya Mungu... Ufalme wako Ushuke means mfalme aje kwenye eneo ambalo si lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…