Rais Magufuli wa mtandaoni sio halisi, tunadanganywa

Miss Natafuta Sijawahi kukusikia ukichangia mada za siasa wala kuanzisha uzi, dah ama kweli leo ndio nakuona sasa vip kampeni imeanza nini, lazima utakuwa umeteuliwa maana wanajua uzi zako unaweza ukasomwa na ukawashawishi wengi. muda utasema twende kazi CCM Oyeeeeeee
 
separation of power, check and balance..
CAG anakosa gani?
 
Tunaomba utuwekee na Indicators za huo ufanyaji kazi wake..je goals alizoset amefanikiwa kivipi? Maana porojo zimezidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…