Rais Magufuli wa mtandaoni sio halisi, tunadanganywa

Yaani ukimfuatilia Mheshimiwa Rais akiongelewa humu mtandaoni utamchukia sana ila nimepata muda nikamfuatilia kwa umakini, kwa kweli tuna Rais anaefanya kazi.

Nadhani ni muda wa sisi kuungana naye ili tupate maendeleo zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hauna hoja ya msingi. Kwa mantiki hiyo huwezi kusema kuwa mada yako hii ina mashiko na kuitetea kwakuwa hujatoa fact yoyote ku support hii argument yako.

Hivyo basi hii nayo ni upuuzi tu kama upuuzi mwingine. Jipange upya tafadhali na siku ingine ukitaka kutetea mtu anaepingwa na wengi jaribu kuja na hoja/facts/data/statistics ambazo zitasaidia kumsafisha huyo unaemtetea sio unamtetea kwa empty words.
 
Kuropoka ropoka kwake ndo useme anafanya kazi? Miradi yote anayoisimamia wakati huu ilipangwa na watangulizi wake na kwa kuwa wenzake walijali maendeleo ya watu kuliko vitu basi walitekeleza miradi yao mmoja mmoja ili na maisha ya watz nayo yaboreke na kulikua na demokrasia nzuri watu waliishi kwa furaha,but huyu jiwe unaemsifia kaja kavuruga yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hauna hoja ya msingi. Kwa mantiki hiyo huwezi kusema kuwa mada yako hii ina mashiko na kuitetea kwakuwa hujatoa fact yoyote ku support hii argument yako.

Hivyo basi hii nayo ni upuuzi tu kama upuuzi mwingine. Jipange upya tafadhali na siku ingine ukitaka kutetea mtu anaepingwa na wengi jaribu kuja na hoja/facts/data/statistics ambazo zitasaidia kumsafisha huyo unaemtetea sio unamtetea kwa empty words.
Povu la nini
 
Back
Top Bottom