Rais Magufuli acha kuihadaa Dunia.

Kweli kabisa ccm kitu gani bwanaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Umekosa point ya Ku comment maana huna La kuongea umeishia kuniita fala,CCM imejaa vilaza hasa eti na wewe ni tegemeo la Lumumba, my foot!
Ndiye tegemeo huyo yaani bila yeye hakuna ccm
 
Jiwe sidhani kama atakuelewa kwa huu ushauri wako.
 
Hapo amejieleza sababu ya Id feki tu... Ingekuwa huko field angeambiwa: "wewe siyo raia.. kama unabisha leta cheti cha kuzaliwa cha babu yake babu wa babaako, na bibi zao, shangazi wao bila kusahau za wajomba wao"... Wakati hata jiwe hana hicho cheti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…