Jukwaa saiz limekuwa na watu wapuuzi wapuuzi tu.Yani mtu anaanzisha mada utafikiri yuko kwenye kijiwe cha kahawa.Sasa huu tena sijui ni nini!? Sijui ni chuki binafsi au ni kutokuelewa mambo ya ibada. Rais Magufuli ni mkatoliki labda hata kukuzidi wewe unayeeleza mambo yasiyo eleweka kwa nia tu ya kutaka sifa zisizo na uhalali. Kukusanya sadaka ni kitendo cha kujiotolea, mtu yoyote au muumini yoyote anaweza kukifanya kwa kujitolea na kwa uaminifu sana kama alivyofanya Rais wetu jana. Kama ni kosa tungoje viongozi wa dini ya Kikatoliki watueleze! Tusidandie mambo kwa ushabiki, tutaishushia hadhi JF yetu jamani.
Lkn Rais wa Burundi kabla na hata baada ya kuwa Rais ni muimbaji wa Gospel na Choir (mtumishi) so tofautisha hapo. Mwingine huu utumishi kauanza ghafla baada ya kuchukua kijiti!!!Umechemka sana kwa mtazamo wako uwo, hakuna ilitrojia yoyote iliyovunjwa pale, Raisi was Burundi Nkurunzinza yeye binafsi uenda kanisani kufanya usafi kabla ya ibada, na anakuambia anamtumikia aliye mkuu kuliko wote, sasa we we unakuja na swala la kukusanya sadaka.......!bado sana
Hujui chochote kuhusu Katoliki.Sasa huu tena sijui ni nini!? Sijui ni chuki binafsi au ni kutokuelewa mambo ya ibada. Rais Magufuli ni mkatoliki labda hata kukuzidi wewe unayeeleza mambo yasiyo eleweka kwa nia tu ya kutaka sifa zisizo na uhalali. Kukusanya sadaka ni kitendo cha kujiotolea, mtu yoyote au muumini yoyote anaweza kukifanya kwa kujitolea na kwa uaminifu sana kama alivyofanya Rais wetu jana. Kama ni kosa tungoje viongozi wa dini ya Kikatoliki watueleze! Tusidandie mambo kwa ushabiki, tutaishushia hadhi JF yetu jamani.
Huujui ukatoliki wala hujui taratibu zake.Utaratibu wakukusanya sadaka niwakawaida nawanaokusanya sadaka niwaumini wakawaida
Kwahiyo kitendo alichokifanya Mh Raisi nichakawaida sana sana
Tena kwa nafasi yake nikitu kikubwa sana kumfanyia Mwenyenzi Mungu Mkuu
Mimi mkatoliki nileyesoma uchaghani useminarini nijambo zuri sana
Wanasema akabiziwe dekioKwani Vatican Wanasemaje?
Rais hajakosea alikuwa sahihiKiki za kijinga sana hizi!unaenda kuwadistract watu wanaomuomba Mungu
Angekuwa muislam tungejiuliza kulikoni,lakini mkatoliki ni haki yakeSasa huu tena sijui ni nini!? Sijui ni chuki binafsi au ni kutokuelewa mambo ya ibada. Rais Magufuli ni mkatoliki labda hata kukuzidi wewe unayeeleza mambo yasiyo eleweka kwa nia tu ya kutaka sifa zisizo na uhalali. Kukusanya sadaka ni kitendo cha kujiotolea, mtu yoyote au muumini yoyote anaweza kukifanya kwa kujitolea na kwa uaminifu sana kama alivyofanya Rais wetu jana. Kama ni kosa tungoje viongozi wa dini ya Kikatoliki watueleze! Tusidandie mambo kwa ushabiki, tutaishushia hadhi JF yetu jamani.
Mbona waumini wengine hawahubiri?Anafanya Hivyo Kama Muumini Wa Kawaida Tu. Tena Zaidi Anapaswa Kupewa Nafasi Ya Kuhubiri Neno La Mungu Pamoja Na Kuwa Ana Utukufu Wa Urais Na Itifaki Yake Inazingatiwa Awapo Kanisani
Kumbuka JPM ndoto yake apo awali ilikuwa ni kubwa Padri bahati mbaya kwakwe hakuweza kumtumikia Mungu katika upande uwo wa upadri, lkn Leo anamtumikia Mungu kwa kuwatumikia wananchi wote wa Tanzania.Lkn Rais wa Burundi kabla na hata baada ya kuwa Rais ni muimbaji wa Gospel na Choir (mtumishi) so tofautisha hapo. Mwingine huu utumishi kauanza ghafla baada ya kuchukua kijiti!!!
Imejirudia leo pale Karimjee hall!Kiki za kijinga sana hizi!unaenda kuwadistract watu wanaomuomba Mungu