Rais, Kagera iko Tanzania

Nyumba ni nyumba hata Kama ni tembe ila kwa wahaya hali ni tofauti...yaani nyumba ya babu yako ulisubiri ianguke kwa tetemeko ndio uombe kujengewa nyingine? Nasema nyumba zilizobomomoka nyingi ni za zamani Sana! Ingekuwa huku usukumani ambapo kijana akipevuka tu anajenga nyumba yake tungeona nyumba mpya, ila kwa tabia ya wahaya ya "akataka ka tata" vijana wengi walikuwa wamegomea kutoka kwenye nyumba za babu zao! Jengeni zenu maana kwa awamu hii hakuna bure bure!

Mbaya zaidi eti waathirika wanaomba msaada wa chakula, kwa lipi? Kwani migomba nayo iliangukiwa na tetemeko? Mbona hatujaona hata kiroba cha mahindi au udaga kilichoangukiwa na nyumba....hata hivyo wahaya hawali "emyaka".
Namalizia kwa kusema "omunafu ayegimb'abyosi" maana yake: mvivu hutafuta visingizio ili kuficha uvivu wake( ukimwi, tetemek, nk.
Acheni uvivu! Mjini Alepo watu wanatafuta riziki iweje hapo Bukoba?
 
Acha chuki kwa wahaya tetemeko halikuletwa na wao
 
Acha chuki kwa wahaya tetemeko halikuletwa na wao
Kama kuwaambia ukweli ndio chuki basi, ila Mimi pia ni mhaya wa kuzaliwa, wazazi wangu wote ni wahaya ila hii tabia ya kutafuta sifa nasema hapana!
 
Umeandika ila hujawaza
 
WACHA WEE !
 
Hivi Chato International Airport imewekwa mkoa jirani eeeehhhh..??? Ukweli ni kwamba CCM hawaipendi Kagera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…