TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,678
- 28,794
Ni dalili kuwa vita imekwisha huko Syria magaidi fake wamekubali kichapo !
inawezekana vita vya silaha vikawa vinaenda kuisha ila still kuna sehemu kubwa sana ya syria still haiko mikononi mwa serikali so tutegemee lolote lile pengine hata mapigano makubwa kuzuka tena ili assad arejeshe udhibiti wa hayo maeneo ambayo mengi yao yana base za kijeshi za kigeni na wengine wasiojulikana, na hivi IS almost wamekwsha lazima ugomvi mwngne wa kudhibiti maeneo uanzeNi dalili kuwa vita imekwisha huko Syria magaidi fake wamekubali kichapo !
Aiseeee...!!! Ila...wewe ni mwandishi? Najua ni nje ya mada...maana mida imeenda na uko on.... sorry though.inawezekana vita vya silaha vikawa vinaenda kuisha ila still kuna sehemu kubwa sana ya syria still haiko mikononi mwa serikali so tutegemee lolote lile pengine hata mapigano makubwa kuzuka tena ili assad arejeshe udhibiti wa hayo maeneo ambayo mengi yao yana base za kijeshi za kigeni na wengine wasiojulikana, na hivi IS almost wamekwsha lazima ugomvi mwngne wa kudhibiti maeneo uanze
mpk kufikia tarehe 14 mwezi ulioisha hivi ndvyo livyokuwa nani ameshikilia maeneo yapi
ah mkuu kila mtu ana changamoto yake ya maisha, sometime ni heri kuwa macho kuliko kulala, ila Mungu mwema, sorry though ....najua huwez kuelewaAiseeee...!!! Ila...wewe ni mwandishi? Najua ni nje ya mada...maana mida imeenda na uko on.... sorry though.
Na USA walikuwa wanawabackup magaidiIla Putin alikua anambackup Assad.
the Syrian leader said that he had decided to send a delegation to a committee tasked to rewrite Syria’s constitution, which was championed by the UN.
Putin & Assad hold ‘extensive’ talks in Sochi, discuss political settlement – Kremlin
Amin kwa HERUFI KUBWASafi sana puttin, Mungu awabariki + Assad.
Wabaya wenu Mungu awalaani.