Rais wa Burundi alipoamua kubeba msaraba wake bila kushurutishwa. Alijua jogoo atawika, baada ya rais kipenzi mwenzie kumkana mara tatu. Akazunguushwa mitaa yote, akiwa amechoka, kabla AFC/M23 haijamsurubu. Ngoja nijiendee mazoezini nisubilie kinachoenda kutokea katika ile milima iliyopo karibu na mji wa Uvira(mji huu upo langoni mwa jiji la Bujumbura).