Mm na blame wananchi ambao hawaamki despite ya kudanyiwa haya yote, they are not waking up, ndio kwanza wanajipendekeza?Tunakoelekea ni kubaya zaidi jamani. Viongozi waliotangulia wangekuwa wanapambana kuuza kila kitu yeye angekuta nini? Hizo hela wanazopokea baada ya mauzo zinafanya nini zaidi ya kuliwa na wajanja wachache?
Kwani ni lazima rasilimali zote ziuzwe in her regime? Yani napata ile feeling ya mzazi kutaka kuuza mali zake sababu amezeeka ili atumbue kabla hajafa bila kujali kizazi cha wajukuu zake kitakuja kuanza kuhangaika upya.
Hizo za madini zote zimeingia serikalini?au za makampuni ya nje serikali imeambulia mrabaha na kodi?..utalii ukiingiza hela unaingiza zaidi kuliko madiniLabda madini yamegundulika hivi karibuni, waliomtangulia hawakuyagundua.
28% ya ardhi Tanzania imehifadhiwa, mbona kama nyingi?
utalii na madini havitofautiani kivile, mwaka jana utalii uliingiza $3.52b, madini $3.06b
na hapo ni baada ya utalii kuweka rekodi ambayo haijawahi tokea tangu uhuru
shida ninayoona labda ni kwamba serikali ikifanya kitu haiwaambii wananchi kwanini, haishawishi....
lakini nyie wananchi wengi mna 'siasa za hisia' mmeamua kumchukia mama basi kila anachofanya mnachukia
Upo sahihi mkuuHizo za madini zote zimeingia serikalini?au za makampuni ya nje serikali imeambulia mrabaha na kodi?..utalii ukiingiza hela unaingiza zaidi kuliko madini
Mkubwa hakosei lo
Mkubwa hakosei lo
Na akikosea aelekezwe lakini asisutwe...Mkubwa hakosei lo
Tena aelekezwe taratibu kidiplomasia taratibu na kwa kujihamiiiiiNa akikosea aelekezwe lakini asisutwe...
Akiendelea ubishi basi asutwe kwa code...Tena aelekezwe taratibu kidiplomasia taratibu na kwa kujihamiiiii
Kabiiiiiiiiiisa loAkiendelea ubishi basi asutwe kwa code...