britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Huyo kuna possibility akawa anaukata wa Bara, japo naye si MzanzibariNafikiri atakuwa mtoto wa mwinyi.
Huyo kuna possibility akawa anaukata wa Bara, japo naye si Mzanzibari
Kabisa, Mahiga au Mwinyi wanaangaliwa kwa jicho pevu, lakin masuala ya kukariri siyo, unakumbuka wanasema rais mpaka awe membe kisa ni waziri wa mambo ya nje ,nimwache alafu nikasema hihihihiSiku ile ya hukumu (2020) wataibuka watu kutoka pande zote za nchi kuutaka Urais wa Zanzibari but rais wa Zbr atakuwa ni....
NB: Ni ngumu sana kwa mtu ambaye hajawahi kuwa angalau waziri katika serikali ya JMT kuteuliwa kuuwania urais wa Zbar...
Januari ni ngumu kuna watu wanasuka mikakati huko, February atajiona basi tenaWa bara nazani watampa January
Mimi naona masuala ya ukali siyo ishu, ishu ni usmart kichwani, sioni mtu tofauti na Hussein Mwinyi, na hii ni kama ile ajenda ya 53H imeisha kwamba ndo rais wa Tanzania mwaka 2025, akiwa bado ajenda hiyo ipo basi kilichobaki ni Mahiga kuwa rais wa ZanzibarKwani wewe Britanicca unadhani nani anafaa?...
Na mwingine ninayemkubali ni Prof Mbarawa...Mimi naona masuala ya ukali siyo ishu, ishu ni usmart kichwani, sioni mtu tofauti na Hussein Mwinyi, na hii ni kama ile ajenda ya 53H imeisha kwamba ndo rais wa Tanzania mwaka 2025,
Duh! hapo unataka Wazanzibar waandae tena majambia kufanya mapinduzi mengine...akiwa bado ajenda hiyo ipo basi kilichobaki ni Mahiga kuwa rais wa Zanzibar
Kwanini mkuuNa mwingine ninayemkubali ni Prof Mbarawa...
Duh! hapo unataka Wazanzibar waandae tena majambia kufanya mapinduzi mengine...
Kuna point hapaaaSamia for 2020 znz presidency
Mwinyi for 2020 vice presidency of the URT
Later; Mwinyi for 2025 Presidency of the URT
Mpaka sasa wanajiona ni koloni la Tanganyika, na wanalalamika kuwa Rais wao anachaguliwa Dodoma...Kwanini mkuu
Kwahiyo unasema hii itatimiaSiku ile ya hukumu (2020) wataibuka watu kutoka pande zote za nchi kuutaka Urais wa Zanzibari but rais wa Zbr atakuwa ni....
NB: Ni ngumu sana kwa mtu ambaye hajawahi kuwa angalau waziri katika serikali ya JMT kuteuliwa kuuwania urais wa Zbar...
By the way, Samia has to decide now. Another 5yrs of V. precidency on URT govt or 10yrs of presidency on Zbr gvt...
Coz 2025 hatoweza kumu unseat a president of Zbr ili yeye akae. The numbers are really tough for her.
Lakin Mahiga ni mzanzibariMpaka sasa wanajiona ni koloni la Tanganyika, na wanalalamika kuwa Rais wao anachaguliwa Dodoma...
Hawataki wa Maisha wanataka wa kawaidakama vipi wakikosa kabisa mzanzibar mkali waniweke Mimi niko tayari kuwa rais wao hata wa maisha
Lakini hajaishi huko kwa miaka mingi na sidhani kama ana nyumba huko. Anyway, sijui sheria zao zinasemaje katika hili...Lakin Mahiga ni mzanzibari