Uchaguzi 2020 Rais ajaye Zanzibar 2020-2025 lazima awe mkali. Je, wanaotajwa tajwa kuna mkali au anaandaliwa Mtanganyika kuvishwa Uzanzibar?

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,635
29,967
Kuna maeneo nimesikia sikia maneno ambayo yanahusu urais wa zanzibar ujao, maana Shein anamaliza mda wake,

Wanatajwa kina Vuai, kina Hussein Mwinyi, hata karume mdogo anataka kujitosa huko, kuna Makamu wa shein,

Lakin kwa aina ya rais wanayetaka awepo kule (Japo rais wa zanzibar hanaga impact) ila kwa sifa ya Ukali kama Magufuli sijamuona, maana wazanzibari ni wapole na wakarimu sana ,

Je kuna mtanganyika atapewa uzanzibari na kupitia CCM? Maana kisichowezekana kwingineko kwa CCM kinawezekana,

Ninauliza hivi watapewa mwingine kama Mwinyi alivyovikwa uzanzibari kwa muda?

Naishia hapa na uzi wetu huu tutaufufua siku ya uchaguzi zanzibar , akiwa amepitishwa Mtanzibari badala ya Mzanzibari
 
Siku ile ya hukumu (2020) wataibuka watu kutoka pande zote za nchi kuutaka Urais wa Zanzibar but rais wa Zbr atakuwa ni....
NB: Ni ngumu sana kwa mtu ambaye hajawahi kuwa angalau waziri katika serikali ya JMT kuteuliwa kuuwania urais wa Zbar...
By the way, Samia has to decide now. Another 5yrs of V. precidency on URT govt or 10yrs of presidency on Zbr gvt...
Coz 2025 hatoweza kumu unseat a president of Zbr ili yeye akae. The numbers are really tough for her.
 
Siku ile ya hukumu (2020) wataibuka watu kutoka pande zote za nchi kuutaka Urais wa Zanzibari but rais wa Zbr atakuwa ni....
NB: Ni ngumu sana kwa mtu ambaye hajawahi kuwa angalau waziri katika serikali ya JMT kuteuliwa kuuwania urais wa Zbar...
Kabisa, Mahiga au Mwinyi wanaangaliwa kwa jicho pevu, lakin masuala ya kukariri siyo, unakumbuka wanasema rais mpaka awe membe kisa ni waziri wa mambo ya nje ,nimwache alafu nikasema hihihihi
 
Kwani wewe Britanicca unadhani nani anafaa?...
Mimi naona masuala ya ukali siyo ishu, ishu ni usmart kichwani, sioni mtu tofauti na Hussein Mwinyi, na hii ni kama ile ajenda ya 53H imeisha kwamba ndo rais wa Tanzania mwaka 2025, akiwa bado ajenda hiyo ipo basi kilichobaki ni Mahiga kuwa rais wa Zanzibar
 
Mimi naona masuala ya ukali siyo ishu, ishu ni usmart kichwani, sioni mtu tofauti na Hussein Mwinyi, na hii ni kama ile ajenda ya 53H imeisha kwamba ndo rais wa Tanzania mwaka 2025,
Na mwingine ninayemkubali ni Prof Mbarawa...
akiwa bado ajenda hiyo ipo basi kilichobaki ni Mahiga kuwa rais wa Zanzibar
Duh! hapo unataka Wazanzibar waandae tena majambia kufanya mapinduzi mengine... :D:D:D
 
Siku ile ya hukumu (2020) wataibuka watu kutoka pande zote za nchi kuutaka Urais wa Zanzibari but rais wa Zbr atakuwa ni....
NB: Ni ngumu sana kwa mtu ambaye hajawahi kuwa angalau waziri katika serikali ya JMT kuteuliwa kuuwania urais wa Zbar...
By the way, Samia has to decide now. Another 5yrs of V. precidency on URT govt or 10yrs of presidency on Zbr gvt...
Coz 2025 hatoweza kumu unseat a president of Zbr ili yeye akae. The numbers are really tough for her.
Kwahiyo unasema hii itatimia
Paul Makonda kuwa makamu wa Rais 2020/2025 - JamiiForums
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom