Peter jaluo JF-Expert Member Joined Nov 10, 2013 Posts 1,750 Reaction score 253 Dec 15, 2013 #1 jamani katika mwonekano nani anaweza akawa rais 2015
Makamee JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 2,029 Reaction score 1,201 Dec 15, 2013 #2 Rais wa nini? Siku hizi marais ni wengi mno 1.Rais wa watanashati 2.Rais wa Tff 3.Rais wa Twangapepeta n.k unasemea raisi wa nini
Rais wa nini? Siku hizi marais ni wengi mno 1.Rais wa watanashati 2.Rais wa Tff 3.Rais wa Twangapepeta n.k unasemea raisi wa nini
believer JF-Expert Member Joined Dec 22, 2012 Posts 639 Reaction score 216 Dec 15, 2013 #3 Makamee said: Rais wa nini? Siku hizi marais ni wengi mno 1.Rais wa watanashati 2.Rais wa Tff 3.Rais wa Twangapepeta n.k unasemea raisi wa nini Click to expand... Njoo hulete majibu ya hizi hoja za wanaume.
Makamee said: Rais wa nini? Siku hizi marais ni wengi mno 1.Rais wa watanashati 2.Rais wa Tff 3.Rais wa Twangapepeta n.k unasemea raisi wa nini Click to expand... Njoo hulete majibu ya hizi hoja za wanaume.
mjasiliaupeo JF-Expert Member Joined Apr 21, 2013 Posts 2,170 Reaction score 3,106 Dec 15, 2013 #4 mimi nitakuwa raisi wa chaputa(chama cha punyeto tanzania)
Makamee JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 2,029 Reaction score 1,201 Dec 15, 2013 #5 mjasiliaupeo said: mimi nitakuwa raisi wa chaputa(chama cha punyeto tanzania) Click to expand... Haaa haaa kuupata urais huko mpaka umalize katoni 7 za sabuni.
mjasiliaupeo said: mimi nitakuwa raisi wa chaputa(chama cha punyeto tanzania) Click to expand... Haaa haaa kuupata urais huko mpaka umalize katoni 7 za sabuni.
Threesixteen Himself JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 8,349 Reaction score 8,081 Dec 15, 2013 #6 ! ! mimi ni raisi walala ushi WAU
T Truth guy. JF-Expert Member Joined Oct 30, 2013 Posts 396 Reaction score 196 Dec 15, 2013 #7 Rais 2015,ktk Tanzania atakuwa Dk Slaa,mna la kusema?
Shin Lim JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 8,099 Reaction score 14,821 Dec 15, 2013 #8 Peter jaluo said: jamani katika mwonekano nani anaweza akawa rais 2015 Click to expand... Mulugo
A Andrew Jr JF-Expert Member Joined Apr 23, 2012 Posts 330 Reaction score 117 Dec 19, 2013 #10 Makamee said: Rais wa nini? Siku hizi marais ni wengi mno 1.Rais wa watanashati 2.Rais wa Tff 3.Rais wa Twangapepeta n.k unasemea raisi wa nini Click to expand... Rais wa Manzese
Makamee said: Rais wa nini? Siku hizi marais ni wengi mno 1.Rais wa watanashati 2.Rais wa Tff 3.Rais wa Twangapepeta n.k unasemea raisi wa nini Click to expand... Rais wa Manzese
K kapuyanga mkware JF-Expert Member Joined Nov 16, 2013 Posts 589 Reaction score 144 Dec 19, 2013 #11 John Samwel Malecela. kwanza ni mgogo. pili ni mzee. tatu anauzoefu. nne hafanyii njaa. tano hana ukabila
John Samwel Malecela. kwanza ni mgogo. pili ni mzee. tatu anauzoefu. nne hafanyii njaa. tano hana ukabila