Nokia83UMEALIKWA?
Kwa kifupi HAYAKUHUSU.
Hivi wewe na mwenzako si ndiyo kuna siku mlikuwa mnachamba MAITI?
Nyie baada ya msiba wa IBRA87 si mliweka kikao mkamchamba kisa aliwasemaga ? Msivyo na haya.
Kinakuuma nini Mimi kupambana na rubii aliye hai??
Ungejitokeza kipindi anasema Mimi ni mke wa Raimundo anaita na watu Waje waone. Mlidhani ningekaa kimya ??
Sijaona cha kukushangaza Mimi nadeal na mtu aliye hai singoji afe ndiyo nije nimwage povu kama kuku mwenye KIFAFA.
Ha ha ha ha mnayajua yangu?? TANGAZENI na pia pole sana.
Mimi jf nipo kivyangu na sijuani na YOYOTE Upoo? Msisahau kuja na evidence.
Kwanza mambo yenyew yameshapita sijui umetokea wapi kama jipu la mata.koni.
Sikushangai siku zote unaingiliaga sherehe ambazo haujaalikwa.
Unaishia kutukanwa tuu.
sumbai anahusika nini? Kwa kifupi umepanic... Relux
Sibishanagi na machizi Mimi .
Jinafasi.
Leo jumatatu siku ya kazi kunya ukimaliza zoa..
Nyoooooo!!!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
yes kama wiki tatu sasa hviIs Ibra dead?
love thé love or hâte thé love.....
Mmmh aisee..niko outdated.yes kama wiki tatu sasa hvi
pole mpk watu wamesahauMmmh aisee..niko outdated.
love thé love or hâte thé love.....
Ooh kumbe.
Ooh kumbe.
Basi mama.
Huu Uzi nimesema sitaongelea tena Ila kwa kuwa umeniita nimekuja.
Tufanye hamna kilichotokea.
Ila mafumbo sipendi . Leo nimependa umenijia direct.
Peace...
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unaanza kunifukunyua.Sinaga mafumbo mimi wala unafiki
Niliita watu kwa thread husika na wala sikutangangaza kuhusu wewe na Raimundo sababu sikuwahi kufahamu mahusiano yenu
Kuhusu mahusiano na Raimundo yes tulishachat sana huko pm nadhani hata wengi huwa wanachati
Lakini kukopwa naona kashfa inawezekana alikwambia kujistiri uanaume wake
Hata hivyo nimemtumia email uyo Raimundo ya audio zake bila Shaka atakutumia pia.
Ukifuatilia Mimi nilishamaliza kitambo sana.
Yaishe tu mamii wangu acheni yapite haya hata mtu gani akija hapa kuandika kitu msijibuUkifuatilia Mimi nilishamaliza kitambo sana.
Ila kadri ninavyomaliza yeye anaanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana Mimi nilisema, chanzo cha hii vita ni umbea wa Daby akabisha. Katoa umbea kashindwa kuleta umbea vizuri.
Imeingia vzr mpk umegunahmmhh
sent from motorola bapa and nokia jeneza
sana tuImeingia vzr mpk umeguna
KhakhaakhaaaaaAliliwa akalipia gharama mwnyw?!...watu wabaya jamani
Kb Ukitaka mkanda mzima anza page ya 1 mpaka mwisho ndo utaenjoy..Nisimulie basi...Mi mvivu kusoma