nilikuwa naangalia mkutano wa jubilee leo,kupitia runinga,jamaa hawana sera kabisa wao kazi yao ni kum attack odinga.alafu wameegemea kwa vijana.siku zote vijana sio wapiga kura,wakinamama na watu wazima ndio wanapiga kura sana.
nazani cord watashinda.