Ukabila Kenya hautokoma Kabaridi, and u know it. Mbona tena unailenga kwangu kana kwamba
mie ndie mdau wa ukabila? Wakenya wenyewe nd'o wakabila...hususan jamaa za mitaa ya kati.
Unaposema Sonko anatosha usenator unamaanisha nini maana sikuelewi?
By the way hizo siasa za Nairobi mimi ni by-stander na simo kabisa. Kwangu mimi ni
Mombasa na nitakuja na nyuzi kali kuhusu hio sehemu hivi karibuni.
Jiji mnalo nyie.
Tunajaribu sana kuilenga hi ukabila kwa sana kwa sababu inagawanya taifa. Wakati CORD inachakachua aspirants wa USeneta kwa madai ya national outlook! kutoa bi Ongoro kutoka useneta kwa madai ya kuweka mkikuyu to capitalize on a NBI kikuyu vote ni udikteta na inadhulumu haki za Bi Ongoro. Is this CORD for real infringing on womens rights to self-determination?
Alivosema bi ongoro kwenye vyombo vya habari yaonekana there were no consultations and consensus. Bi ongoro anajiamini na alikuwa amejenga miundo msingi za nguvu na wakazi wa NBI. Yule aliyesimama kasarani ameenda wapi sasa? Amepewa pesa taslimu anyamaze na astaafu kwenda nyumbani au vipi?! unaweza tupatia uhondo how CORD family politics is currently being driven!:smile::A S 465:
Boss, hakuna tofauti na hapa kwetu; ujambazi wote huu wa CCM watu bado wanawaunga mkono.Hapa wakenya ndo wananishangaza
Ujambazi woote wa uhuru but still ana watu wanataka awe rais?
seriously?
Kuna mtu kanichekesha kwa kusema Kenya inauwezekano wa kuitwa "Gangsters Paradise" baada ya kura.
Cheki hapa mfano....:becky:
President Uhuru Kenyatta...Wanted
Vice-President William Ruto...Wanted.
Governor Ferdinand Waititu...anayejulikana kwa kuanzisha vurugu na kupiga watu mawe. 'Embakasi style justice'
Senator Gideon Mbuvi Sonko....huyu nadhani mnafahamu ishu zake.
Kabogo...Zungu la Unga na tapeli mkuu...anashtuma za kumuua mwanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi
Mary Wambui...Zungu la Unga
heheh something u pipo dont get most kiuks can neva vote 4 ODM even if its one of them Wanjiru z viewed as a msariti to many kiuks thats spoils it...sonko will ride free to b senator even if he dont do campaign i can bet on dat he z unopposed all TNA votes ni zake + some of Cords in senetorial this round Nairobi will b red