Nilimsikia bbc akihojiwa na kumshauri Lowassa (ambaye anadai ni rafiki yake pia) aende mahakamani endapo hajaridhika na uteuzi huu. Ndio nikajua kuwa unaweza kuongea lolote pale unapodhani pilipili ni tunda kama strawberry, hakujua kwamba hapa hata majum,uisho ya namba za tume zinapotofautiana na jumla halisi huwezi kupinga popote duniani hata mbinguni!