tayari umoja wa afrika mashariki una marais wasiopingwa wala kukosolewa wala kushauriwa. Tayari wana marais wanaokandamiza demokrasia kilichobaki ni kenya tu. sasa ole wenu wakenya mkampa Raila nchi mtajuta kuliko Uganda kuliko Sisi kuliko tz kuliko burundi yaan ole wenu Kama maendeleo mnayo na kama Rais mnaye. hiv ni nchi gani africa rais anazidiwa nguvu na mahakama aliyoiteua???
KWA SASA KENYA NI KIOO CHA DUNIA MKIMTOA UHURU MTAKUWA PAZIA TU LINALOKINGA MACHO ILA HAKUNA KINGA
Sent using
Jamii Forums mobile app