Hebu fikiria, Mbowe walishatoa tamko ya kuwa wanampa support Uhuru kisa na maana Raila alim-support Magufuli. Halafu isitoshe, Lowasa kaja kwetu kisha kampigia debe Uhuru kwa Wamaasai ya kuwa wampigie Uhuru kura halafu leo hii unasemaje?????????? Ya kwamba Raila aende kumwona Mbowe ambaye yupo na Tundu wataanzaje??????? Anyway, I think Raila is above that and let's pray that maybe he will visit Tundu. Pole sana Tundu.
You are missing the point, siasa sio uadui, mtu kuwa upande wa pili wa siasa haina maana umchukie au umfanyie mambo mabaya. Vyovyote iwavyo yeye ni binadamu kama tulivyo binadamu wengine bila kujali itikadi au chama anachokishabikia. Kwenda kumjulia hali ni ustaarabu na pia ni suala la kibinadamu zaidi na sio kisiasa. Tusiyafanye maisha yawe kila kitu siasa.
Elimu ya Raila inatia mashaka sana kama kwani mwaka 1962 Raila hakumaliza kusoma elimu ya sekondari katika shule ya Maranda High School. Mwaka 1965 alipata ufadhili kwenda kusoma chuo cha ufundi huko ilipokuwa Ujerumani Mashariki (Technical School Magdeburg) anadai alichukua degree hiyo na masters degree lakini inatia mashaka. Raila hakuwahi kufanya kazi Nairobi University bali alifanya kazi kama manager Kenya Bureau of standards mwaka 1978-1982. Ukisikia hotuba ya nyingi za Raila kwa vijana maarufu mzee wa vitendawili hakuna cha maana anachoongea sera zake kudanganya wananchi anawapeleka Canan ardhi ya matumaini kumbe shida yake ni kwenda kuwatumbukiza wakenya Mediterranean Sea. Mkuu Raila Odinga hafai kuwa Rais wa Kenya afadhali Mudavadi ama Kalonzo. Nchi nyingi za Magharibi hazitaki kabisa kuona Raila anakuwa Rais wa Kenya ndio maana zilimpongeza Uhuru Kenyattta kwa haraka katika uchaguzi uliopita pamoja na utata wake.
Raila ana roho ya vitendawili. Haeleweki na hafai kuwa rais wa Kenya. Vitendawili apelekee wakora wenzie huko maporini.
Raila Odinga hana sera yeyote hata yeye ni fisadi mkubwa kumbuka ile scandal ya mahindi alipokuwa kuwa waziri mkuu. Wakati wa mchujo wa kura ya maoni kupitia chama chake cha ODM familia yake ilituhumiwa kupokea rushwa ili kupitisha baadhi ya wagombea. Raila ni chui aliyevaa ngozi ya kondoo. Kipindi cha Uhuru Kenyatta pamoja na tuhuma za ufisadi bado ni strongest economic country in East Africa. Raila kuwa Rais wa Kenya will be disaster kwa Kenya na Africa mashariki.Ni wapi kwenye katiba ya Kenya imesemekana kama wewe ni mtu wa vitendawili huwezi kuwa raisi?. Kama humuelewi basi rudi shule ama gumbaru upate masomo zaidi.
Hilo ndo limfanye asiwe rais ? Sio kwel bali hizo ni siasa zenu zisizo na macho najua chadema hamuelewan na odingaWakenya wanapiga kura mwezi ujao kumchagua Rais wa nchi hiyo.
Ni kitendo cha aibu kwa kiongozi huyo anayejiita kinara wa upinzani na demokrasia kushindwa kutoa pole ama tamko lolote linalohusiana na kupigwa risasi kwa mwanasiasa maarufu kutoka chama cha upinzani Tanzania Mheshimwa Tundu Lissu.
Raila Odinga ameshindwaje hata kwenda hospitali kumjulia hali mwanasiasa huyo. Raila ni mtu mwenye uchu wa madaraka na chuki za kisiasa.
Natoa shukrani Uhuru Kenyatta kwa jinsi alivyotoa ulinzi kwa kipenzi cha watanzania Tundu Lissu
Wew ulitaka aishi kwenye nyasi kama kipimo cha demokrasiaRaila will Never Never be President of Kenya hata ukitoa matusi. Raila ni fisadi mkubwa anaishi nyumba ya bilioni moja ni nyie wajinga mnaishi nyumba za slams Mathare
Wew humpend ila wakenya wanampenda na ndo rais waoRaila Odinga hafai hafai kuwa Rais wa Kenya na siku wakenya wakimchagua watajuta.
Inaweza kuwa unafki tu,kwan kumtembelea mtu ndo ishara ya upendo ?Kwa mwanasiasa mzuri siasa haina chuki. Nelson Mandela alimwalika ikulu mkuu wa gereza alipokuwa amefungwa miaka 27 na kunywa naye chai.
Haki ni zaid ya gharama unazozingumzia odinga yupo sawaHuyu Raila ni mbinafsi saaaana sana. Sasa anasema shule zisifunguliwe ati uchaguzi ndio wa maana zaidi,billioni Ksh 15 zitatumika uchaguzi wa marudio sababu yake na maafisa wa IEBC wa zamani waliondolewa bila hatia sababu hakuwa na imani nao.Sasa tume mpya tena anataka ivunjwe .
Ety mtu akiwa na mali hafai kuwa kiongoz ? Wew unajua utajir alionao kenyata ?Hii Helicopter Raila amenunua mwaka huu zaidi ya dola milioni 10 halafu anajiita Rais wa Wanyonge
View attachment 587115
Hoja za kijinga jinga sijui umetoka nazo vip shimon ,labda tukuulize kama angeenda na kungetokea lolote mlitaka kuongea upumbavu wenu mtu katumwa coz hamchelewi nyie mashuduWakenya wanapiga kura mwezi ujao kumchagua Rais wa nchi hiyo.
Ni kitendo cha aibu kwa kiongozi huyo anayejiita kinara wa upinzani na demokrasia kushindwa kutoa pole ama tamko lolote linalohusiana na kupigwa risasi kwa mwanasiasa maarufu kutoka chama cha upinzani Tanzania Mheshimwa Tundu Lissu.
Raila Odinga ameshindwaje hata kwenda hospitali kumjulia hali mwanasiasa huyo. Raila ni mtu mwenye uchu wa madaraka na chuki za kisiasa.
Natoa shukrani Uhuru Kenyatta kwa jinsi alivyotoa ulinzi kwa kipenzi cha watanzania Tundu Lissu
Nchi za magharib zina umuhim gan katk afrika yetu ? Au ndo vibaraka wa wazungu ? Najua hawampend raila kutokana na misimamo yake madhubut dhid ya ukololoni mamboleoElimu ya Raila inatia mashaka sana kama kwani mwaka 1962 Raila hakumaliza kusoma elimu ya sekondari katika shule ya Maranda High School. Mwaka 1965 alipata ufadhili kwenda kusoma chuo cha ufundi huko ilipokuwa Ujerumani Mashariki (Technical School Magdeburg) anadai alichukua degree hiyo na masters degree lakini inatia mashaka. Raila hakuwahi kufanya kazi Nairobi University bali alifanya kazi kama manager Kenya Bureau of standards mwaka 1978-1982. Ukisikia hotuba ya nyingi za Raila kwa vijana maarufu mzee wa vitendawili hakuna cha maana anachoongea sera zake kudanganya wananchi anawapeleka Canan ardhi ya matumaini kumbe shida yake ni kwenda kuwatumbukiza wakenya Mediterranean Sea. Mkuu Raila Odinga hafai kuwa Rais wa Kenya afadhali Mudavadi ama Kalonzo. Nchi nyingi za Magharibi hazitaki kabisa kuona Raila anakuwa Rais wa Kenya ndio maana zilimpongeza Uhuru Kenyattta kwa haraka katika uchaguzi uliopita pamoja na utata wake.