Wananchi wa Kenya leo wanapiga kura kuwachagua viongozi wao katika Uchaguzi Mkuu wa kwanza baada ya kupata Katiba Mpya, ambao unawapambanisha vikali watoto wa waasisi wa taifa hilo ambao sasa ni marehemu.
Uchaguzi wa leo unaelezwa kuwa na kinyanganyiro kikali ambacho hakijawahi kushuhudiwa baina ya wagombea wawili wa urais, Uhuru Kenyatta wa Muungano wa Jubilee na Raila Odinga wa Cord.
Uhuru ni mtoto wa Rais wa kwanza wa Kenya, Mzee Jomo Kenyatta, wakati Raila ni mtoto wa aliyekuwa Makamu wa Kenyatta, Jaramog Oginga Odinga.
MAMBO MUHIMU:
Kinachofuta; Iwapo mgombea Rais atafikisha zaidi ya nusu ya kura kwauchaguzi waleo, atatangazwa mshindi.
Ikishindikana, unafanyika uchaguzi wa marudio baina ya wagombea wawili wa kwanza, kati yao atakayepata kura nyingi atatawazwa kukalia Ikulu ya Kenya.
Walikotoka; Anayechaguliwa leo Rais wa nne wa Kenya. Marais watatu waliotangulia ni Jomo Kenyatta, Rais wa kwanza, Daniel Arap Moi, rais wa pili, na anayeondoka, Mwai Kibaki.
Wagombea wawili wanao pambana vikali; Uhuru Kenyatta na Raila Odinga Ni watoto wa waasisi wa Taifa la Kenya, wakati Uhuru ni motto wa rais wa kwanza, na Odinga ni motto wa aliyekuwa Makamu wa rais.
Je ni nani atakayeingia ikulu leo? ( a ..) chagua jibu moja tu, (a) au (b)
(a) Raila Odinga
(b) Uhuru Kenyatta

Je ni nani atakayeingia ikulu leo? ( ..) chagua jibu moja tu, (a) au (b)

Kwa hiyo inabadi uhimize watu wa kabila wazaliane kwa wingi ili upate urais ukiwa KenyanKwa Kenya ukabila ndio unaamua nani atakuwa rais! Population ya watu wa kabila la Odinga kama ni kubwa basi ndie rais. Population ya watu wa kabila la Kenyatta kama ni kubwa basi Kenyatta ndie rais!
Kimenuka mkuu... Kwa sasa; Uhuru anaongoza kwa idadi ya 744648 vs 527780
Hawa jamaa wameanzisha tread wakaiongia mitini tujuzeni nani anaongoza jamani tunataka kujua tafadhali
Huko kenya vipi jamani?
-update: kutoka BBC.
Matokeo ya mwanzoya
uchaguzi mkuu nchini
Kenya yanaonyesha
Uhuru Kenyatta akiwa
anaongoza kwa asilimia
hamsini na nne dhidi ya Raila Odinga aliye na
asilimia arobaini na
moja. Ni uchaguzi ambao
mamilioni ya wakenya
walishiriki kupiga kura
licha ya visa vya vurugu
kuripotiwa katika
baadhi ya sehemu za nchi ambapo takriban
watu 15 wakiwemo
polisi waliuawa . Wakenya walisubiri
kwa zaidi ya saa nane
kupiga kura
ikizingatiwa kuwa
baadhi walikuwa katika
vituo vya kupigia kura mapema asubuhi saa za
tisa na hata saa nane
wakisubiri vituo
kufunguliwa. Mamilioni ya wakenya
wanatumai kuwa
matokeo ya uchaguzi
huu yatawaunganisha
wananchi hasa baada
ya ghasia kushuhudiwa baada ya uchaguzi wa
mwaka 2007. Watu elfu
moja na miambili
waliuawa na maelfu ya
wengine kuachwa bila
makao. Matokeo ya mwanzo
yanaonyesha Uhuru
akiongoza kwa zaidi ya
asilimia hamsini dhidi
ya mpinzani wake Raila
Odinga, 68. Tume ya uchaguzi
inasema kuwa shughuli
ya kuhesabu kura
huenda ikaendelea hadi
Jumatano kwa sababu
ya idadi kubwa ya wapiga kura
walioshiriki zoezi hilo. Hatua hii nayo huenda
ikachelewesha
kutangaza matokeo
rasmi ya uchaguzi
mkuu. Watu waliendesha
shughuli hiyo kwa
amani kwani ndiyo
ilikuwa kauli mbiu ya
uchaguzi huu kwa hofu
ya kutokea tena ghasia za kikabila
zilizoshuhudiwa
mwaka 2007.
Hahahaaaaaa....Raila Ameshaongoza sasa iv na ndie anakua mkuu wa nchi