Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,307
Beware of the unholy alliance Mudavadi-Ruto-Uhuru a clear and present threat to Raila triumph.
Beware of the unholy alliance Mudavadi-Ruto-Uhuru a clear and present threat to Raila triumph.
its not unholy per se but though Raila has done many reforms for Kenya he has equally created too many enemies. *all of his insiders are against him now* . To summarise, the above alliance without any doubt is a death sentence to Raila's political carreer. Politics aint ma thing though
KAKA
Odinga ni moto,huyu ni jamaa wa matendo na sio porojo,na hii ndio inasababisha waungane,kwani wanaelewa kuwa akisha madaraka imekula kwao hususani wale wala rushwa
this is not the first time they gang agaist him.
Ngongo,Heshima kwenu wanajamvi,
Siasa za Kenya hazitabiriki lakini jambo moja lilowazi Raila Odinga ni mwanasiasa shupavu sana wakati mwingine unashangaa wanasiasa kama Ruto, Uhuru na sasa Mudavadi wanaungana dhidi yake ili kumzuia asiingie Ikulu tu hawana agenda ya kuwaletea maendeleo wananchi wa Kenya hoja yao ni moja Raila Odinga hafai !.
Twende nipate bro. Hapa we are always united. Hehe...dirty linen tunaanika homeRaila has suporters across the country. Ukija western, wapo watu kama Ababu Namwamba, Fred Gumo nk, ukienda Mombasa ana strong suport from the muslims, though kakimbiwa na Balala.
Bonde la Ufa bado kuna wabunge kama Frank Bet/Dr Kosgey nk ambao ni washiriki wake wa karibu, even Central Province kuna tetesi kwamba Martha wa Karua anaweza akaugana na Raila.
Remember that, all the groupings are tribal except ODM.
Heshima zako mkuu Crucial Man...Though hawa matribal kingpins wamegang up kublock mr odinga,but he is still a darling of many Kenyans, the recent opinion palls shows that raila is still the most admirable politicia in Kenya.
Thd tribal groupings will to stop his journey to state house. We should not forget that UK, and Ruto may not apear in balot papers, their fate is in CJ's hand. Am sure that they will suport mudavadi, but Mudavadi sio mtu wa kuaminika hana maamuzi, he is like comrade Kalonzo.
Mudavadi is a KANU project, I dont think Kenyans has something to do with KANU. I strongly believe that Mr PM is the next Kenyan president.
FJM,livefire, hebu nisadie...
With the new Constitution, how is it possible kwa Rutto & Uhuru to stand for the highest seat in the land while ICC saga is still on? Wananchi wako ok na hiyo au wawili hawa ni mibuyu na hivyo hawagusiki?
FJM,livefire, hebu nisadie...
With the new Constitution, how is it possible kwa Rutto & Uhuru to stand for the highest seat in the land while ICC saga is still on? Wananchi wako ok na hiyo au wawili hawa ni mibuyu na hivyo hawagusiki?