joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Una maana wakenya wenzako hawana akili hadi usikilize na kurejea maneno ya watanzania wachache?, Wewe mwenyewe umekiri kwamba wakenya wengi walikua wanakubali Sana Magufuli lakini Kuna baadhi ya wachache ukiwemo wewe hawamkubali, vipi unaacha kuweka "Quote'za wakenya walio wengi badala yake unatumia za watanzania wachache, hiyo ni kudhihirisha kwamba unawaamini na kuwakubali zaidi watanzania kuliko wakenya, au ni wivu juu ya MagufuliKama kweli aliyafanya hayo basi huyo alikua "super president", sema sasa binafsi sina namna ya kuyahakiki hayo ila kutegemea nyuzi zinazoanzishwa na Watanzania wakimjadili alivyokua rais wenu huyo, wanayoyaandika kama ni ya kweli atakua aliikwamisha sana hiyo nchi, hebu soma hii analysis ya huyu Tuweke kumbukumbu zetu sawa, huu ndo uchumi wa Magufuli aliouacha, all facts! - Sehemu ya kwanza
Nimesoma maneno yake yote. Yaliyojiri ni haya:-Kama kweli aliyafanya hayo basi huyo alikua "super president", sema sasa binafsi sina namna ya kuyahakiki hayo ila kutegemea nyuzi zinazoanzishwa na Watanzania wakimjadili alivyokua rais wenu huyo, wanayoyaandika kama ni ya kweli atakua aliikwamisha sana hiyo nchi, hebu soma hii analysis ya huyu Tuweke kumbukumbu zetu sawa, huu ndo uchumi wa Magufuli aliouacha, all facts! - Sehemu ya kwanza
Raila talala!Raila tibim!
Wewe... wachanga tu hii mambo! Deep-State-government ambayo ina overrule na kuwa legal, over Constitutional-government?!Raila tibim!
This 2022 Ruto na Uhuru tunawatuma sugoi na ichaweri villages respectively. Jubilee wametufeli sisi wakenya miaka kumi.
kenye ambacho wanafanyia Ruto mungu anaona!Naapa nyie wote ambao hampendi Ruto mutaonea akiwa kwenye kiti ndani!mutaonea Viusasa!Wewe... wachanga tu hii mambo! Deep-State-government ambayo ina overrule na kuwa legal, over Constitutional-government?!
Uhuru tayari ana-procure new motorcade vans kwa ajili ya 5th President Raila.
Taswira zote kwa hisani ya google.
View attachment 2068640
Motorcade ya kuapishwa Raila itakuwa hivi kwa sababu itakuwa na world prominent leaders G8 inclusive.
View attachment 2068645
Raila ataapa hivi Kasarani Complex kuwa rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya.
View attachment 2068655
Tayari wameingia Kasarani Complex kusubiri Raila kuapishwa.
View attachment 2068662
The shirt is believed to be a handout of Magufuli to Raila. CCM hoyee...
View attachment 2068680
KDF Fighter jests saluting the 5th Commander-in-chief H.E. Raila Amolo Odinga alias Agwambo Earthquake.
View attachment 2068690
North Korean-made Intercontinental Missile Launcher saluting KDF's 5th Commander-in-chief Raila Odinga. Unconfirmed sources hold tha Kim Jong-un wrote GoK requesting to attend the eventful day.
View attachment 2068695
KDF Submarine launching Cruise Missile by firing the sky in Mombasa to celebrate swearing in of 5th Commander-in-chief H.E. Raila Odinga.
View attachment 2068699
Ruto: President... so what is my fate now on?
Uhuru: No... you go and hustle out there, after all Moiben, Uasin Gishu County is very fertile for food crops production, try that as your plan B. But I assure you Ruto, the 5th Commander-in-chief promises you peaceful retirement only if you accept defeat.
Raila (engineer) akikua rais tuta-achieve vision 2030 faster as opposed to the sugoi thief (botany)Wewe... wachanga tu hii mambo! Deep-State-government ambayo ina overrule na kuwa legal, over Constitutional-government?!
Uhuru tayari ana-procure new motorcade vans kwa ajili ya 5th President Raila.
Taswira zote kwa hisani ya google.
View attachment 2068640
Motorcade ya kuapishwa Raila itakuwa hivi kwa sababu itakuwa na world prominent leaders G8 inclusive.
View attachment 2068645
Raila ataapa hivi Kasarani Complex kuwa rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya.
View attachment 2068655
Tayari wameingia Kasarani Complex kusubiri Raila kuapishwa.
View attachment 2068662
The shirt is believed to be a handout of Magufuli to Raila. CCM hoyee...
View attachment 2068680
KDF Fighter jests saluting the 5th Commander-in-chief H.E. Raila Amolo Odinga alias Agwambo Earthquake.
View attachment 2068690
North Korean-made Intercontinental Missile Launcher saluting KDF's 5th Commander-in-chief Raila Odinga. Unconfirmed sources hold tha Kim Jong-un wrote GoK requesting to attend the eventful day.
View attachment 2068695
KDF Submarine launching Cruise Missile by firing the sky in Mombasa to celebrate swearing in of 5th Commander-in-chief H.E. Raila Odinga.
View attachment 2068699
Ruto: President... so what is my fate now on?
Uhuru: No... you go and hustle out there, after all Moiben, Uasin Gishu County is very fertile for food crops production, try that as your plan B. But I assure you Ruto, the 5th Commander-in-chief promises you peaceful retirement only if you accept defeat.
Kimunya & gideon wanataka urais 2022?Hakika huyu jamaa mwezi wa nane anapewa u president wa Kenya The deep state which is very deeper support him
akina Ruto, Musalia Mudavadi, Gideon Moi,Kalonzo Musyoka Moses Wetangula, Peter Munya they have to weit
Raila is a thief too,hio mali yake na hio family yake where did it come from,na huyo unye,moi,wote!Raila (engineer) akikua rais tuta-achieve vision 2030 faster as opposed to the sugoi thief (botany)
Kenya will also fight corruption under raila, UDA claims it is not going to fight corruption according to David ndii.
Peter Munya sio Kimunya.....Kimunya & gideon wanataka urais 2022?
Ndugu chama ni UDAPeter Munya sio Kimunya.....
Gideon Moi anasikiliza maelekezo ya Uhuru Kenyatta nyuma ya muungano wa OKA...
keshaambiwa Baba Tosha......
Huyo Mmeru Peter Munya mara nyingi mwanzo anaonesha kama anataka kugombea uraisi lkn mwishowe anakuwa nyuma ya miungano mingine.....
Unazungumza na mtu ambaye yupo ndani' ndani, ndani ndaaaaaaaaaani!Ndugu chama ni UDA
Form ni Hustler nation
Mpango ni bottom up
Huyu mganga wenu ni state project na watu washamjua,2002 uhuru mwenyewe alikua ni project ya moi alifail.
Unazungumza na mtu ambaye yupo ndani' ndani, ndani ndaaaaaaaaaani!
Jaluo lazima litinge ikulu weka hii statement kwenye account yako ya ban
Unazungumza na mtu ambaye yupo ndani' ndani, ndani ndaaaaaaaaaani!
Jaluo lazima litinge ikulu weka hii statement kwenye account yako ya bank
It is oginga odinga the vice president then who stole not raila odinga the son.Raila is a thief too,hio mali yake na hio family yake where did it come from,na huyo unye,moi,wote!
If he is not a thief let him return every stolen cent to the gorvenment,because if you eat money of a thief knowingly you also become a thief!It is oginga odinga the vice president then who stole not raila odinga the son.
Calling raila a thief is like calling nick ruto a thief because his father arap mashamba has stolen as deputy president.
Hii story ya dynasty itakula ruto mwenyewe at the end.
Baba na mtoto ni vitu mbili tofauti. Baba akifanya makosa yeye ndo atasimama kwa koti sio mtoto and vice-versa.If he is not a thief let him return every stolen sent to the gorvenment,because if you eat money of a thief knowingly you also become a thief!
If he does that i will really know he loves "The People" as he says he does!