Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,257
- 34,547
Kwa hiyo?Amakweli inawezekana ninaishi nje ya hii dunia, maana hayo majina yote ya wanakwaya hari bendi zao sijawahi kuzisikia ukiachilia mbali kuziona
Samahani sister, pengine umekwazika kwasababu siwafahamu hao wanakwayaKwa hiyo?
Uwo Ni mlio wa kuku bibieKwa hiyo?
Haya basi piga kelele kwa kwio wake weuweeeeeeeeeeehUwo Ni mlio wa kuku bibie
Mwenyewe nimeshanga wote siwafahamuAmakweli inawezekana ninaishi nje ya hii dunia, maana hayo majina yote ya wanakwaya hari bendi zao sijawahi kuzisikia ukiachilia mbali kuziona
Huyo ni mtoto wa kizanzibar og, hizo camera tu.Huyu wa juu anatumia mkorogo afu makunyanzi nakavaa nywele za wafu wa korona mbaya,Kura yangu nampa chini ana lips za kunyonya na mashavu yakukiss.Mambo ya nyimbo zao sitaki kuyajua.
"Kwio" ndio nini?Haya basi piga kelele kwa kwio wake weuweeeeeeeeeeeh
Wanaume wa dsm ndo watakua na jbu"Kwio" ndio nini?
Kelele ya kwanza kwa Kwio ake we"Kwio" ndio nini?
AiseeWanaume wa dsm ndo watakua na jbu
[emoji849]Kelele ya kwanza kwa Kwio ake we
Kelele ya pili kwa kwio ake we we
Kelele ya tatu kwa kwio ake we we weuweeeeeeeeeeeh
Kelele ya kwanza kwa Kwio ake we
Kelele ya pili kwa kwio ake we we
Kelele ya tatu kwa kwio ake we we weuweeeeeeeeeeeh
Hapa kuna tatizo dah acha nipite"Kwio" ndio nini?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hapa kuna tatizo dah acha nipite
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji849]