Nilitaka nikae kimya,lakini nimeona sio vyema.
Tafadhali,utani wa aina hii haufai....
Hujui utani huu utaleta athari gani kwangu.
Hivyo basi,nisingependa kuona haya yanajirudia.
Asante.