Raha ya daladala ndo hii

hili jaribu ni hatare sana, unaweza ukajikuta unashuka anakoshukia mwanamke!
 
Hawa ni kama walipanga wamalize mambo yao kwenye daladala ila kadada mbona kanaonekana ka kanda za juu kusini
 
Duh mshikaji apo anatamani hata angekua kwenye daladala la kawaida, mana mwendokasi fasta umefika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…