Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 561
Mkuu kumbe ni kali mi nimeiyona netnaija naipita tu, vipi umeshacheck na Army of thief sijui kama nimepatia jina, maana nimetaka kuichukua bando likakataDonnie yen tena ndani ya nyumba jamaa kacheza kama afisa polisi afande bong
huyu mwamba akicheza uhusika wa polisi anakiwashaga kweli na humu kakiwasha kweli hii movie imejaa uhalifu,Usaliti,Mapenzi,upelelezi na mkono wa kutosha kama unapenda basi hii movie ni type yako
ila ile scene donnie unapiga drift unatoka ndani ya gari unamwokoa mtoto na kubinjuka pale utanisemehe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naipa rate 8/10
iyo army of thief ni moto sana nimesoma review yake wakati nchi ipo kwenye majanga wahuni wantumia mwanya huo kuiba pesa ngoja niongeze bando nishusheMkuu kumbe ni kali mi nimeiyona netnaija naipita tu, vipi umeshacheck na Army of thief sijui kama nimepatia jina, maana nimetaka kuichukua bando likakata
hatari na nusuHuyu mwamba Huwa hakosei