Rafiki yangu ameomba nimuoe mke wake?

Kwa zama tulizo nazo kuiamini hii stori inabidi uwe na moyo wa nyama.


Inaweza kuwa kweli ama isiwe hivyo ila maisha ni dhamana tuliio pewa ma Mungu, asukuriwe kwa yote maana kesho yetu inaweza kuwa kinyume na tunavyo dhania
Amini amini nilichoandika hayajakupata tu ujue ukipewa issues za mwingine huwa tunao kamba au siyo
 
Kama kweli huyo rafiki yako anakupenda kweli, nenda usiku kwake,muombe mbususu mke wake mbele yake tuone reaction ya marehemu mtarajiwa.
Shenzi kabisa😀😀😀 kataa zinaa
 
Kumb
Kumbe herena wewe ni wa kiume?

Inashangaza sana
 
Swali hili linagusa misingi ya maadili, utu, na utamaduni. Kimaadili na kitamaduni (hasa katika jamii nyingi za kiafya na kitanzania), sio sahihi kumuoa mke wa rafiki yako, hata kama wote wawili wameridhia.
 
Mkuu rithi vyote ila siyo mjane bora aolewe na ntu mwingine ila siyo wewe rafiki yake wa karibu jamii itakuchukulia kama mlikula njama na mkeo
 
Kama kweli huyo rafiki yako anakupenda kweli, nenda usiku kwake,muombe mbususu mke wake mbele yake tuone reaction ya marehemu mtarajiwa.
Huo ni ukatili na haifai, mwenye akili timamu hawezi kufanya hivyo, hiyo ni faragha na sio kufanya mbele za watu.
 
Hilo lipo na ni sawa bro Hamza ila ingekuwa vizuri sana akwambie mbele ya mke wake si mbaya but make sure uwe na mke wako afu umueke wazi tu. Hilo nilisha niliona kwa rafk yangu after mwanamme kufa jamaa akawa hajapata mtoto ikabidi wanafamilia wamwambie tu achague rafiki wa mme wake na kweli ikawa hivyo. Bro kama ni ukweli mshike mkono na afu jaribu kurekodi hayo maneno ya rafki yako au rudi tena umuulize alichokuwa anakisema atakwambia upya urekodi itapendeza. Lakin mimi nakushauri kwa mara ya pili kama hujaoa oa kwanza then uendelee na mengne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…