Uchizi unaanza taaratibu!Wakuu kunarafiki yangu mmoja Jana ameondoka na PC yangu pamoja na hela laki 5 nahiyo ilikuwa kwaajili ya chuo akadai Leo sambili asubuhi atarejesha hadi sasa hajaleta afu ata cm hapatikan nainatakiwa nikabidh kazi ya chuo Leo naona anataka kulogwa
Wakuu kuna rafiki yangu mmoja jana ameondoka na PC yangu pamoja na hela laki 5, na hiyo ilikuwa kwa ajili ya chuo, akadai leo saa mbili asubuhi atarejesha, hadi sasa hajaleta afu hata simu haipatikani na inatakiwa nikabidhi kazi ya chuo leo, Naona anataka kulogwa!