Nahitaji kuanzisha uhusiano wa kirafiki na mwanamke muislam umri usizidi 35 yrs,wagumba watapewa kipaumbele maana jamii inawaonea. Mengine negotiable, mawasilaiano ni kwa PM tu, na zote zitajibiwa. Week end njema.
Wewe mbona hujafunguka kuhusu wasifu wako? Je una umri gani? Umeoa au bado? Je na wewe ni tasa (mgumba)? Nauliza hivi kwa sababu na mimi natafuta sana mwanaume tasa maana jamii inawaonea.
Mimi nina 27yrs natafta msichana awe girlfrnd wangu.Sibagui dini wala kabila wala rangi.Mimi ni mrefu wa wastan,rangi yangu mweusi,Alie tayar ani PM au anichek kwenye email hsudi2012@yahoo.com