Ungekuwa una oda 5 saa hizi usingekuwa hapa unajibishana mambo yasiyo na tija. We unauza bidhaa weka bei, shida ni nini unakuwa mswahili mswahili?Nshapokea oda zaidi ya tano toka niweke hili bandiko asubuhi ya leo
Mara nyingi msionunua mna mbwembwe sana na kukatishana tamaa
Sorry muonekano ni huu wadauView attachment 1225557View attachment 1225558
Ni original
..... Capacitive touch screen
...... Inaplay CD DVD AUX MEMORY CARD FLASH na ina support blutooth
......Tupo Dar ses salaam, tunauza na kufungia wateja wetu kwa gharama nafuu
...... Tunatuma mikoani pia
CALL: 0679242855
Hio laki 250000 kwa mziki ni kila kitu kuanzia redio,ufundi na spika ya base,amplifire n.k au???Asanteni mods kwa kuunganisha nyuzi zangu
Karibuni sana wateja wangu
Duuuu si atafunga biashara.Hio laki 250000 kwa mziki ni kila kitu kuanzia redio,ufundi na spika ya base,amplifire n.k au???
Huduma hii bei gani.Wakuu,
...plus tunasafisa taa za magari kwa mashine ya mvuke