Akiweka nahama huko Gambosh nahamia Dsm Masaki.Ungeweka bei elekezi kwa kila huduma ingependeza mkuu
Shukrani mkuu uko vizuri kujibu wateja,nilikuwa nakupima kama utatokwa povu.Sorry hapo kwenye radio nilimaanisha 250000
Asingesema hivyo ungeweka?Nimeweka mkuu
We ndo wale kikosi kazi cha ulinzi wa nanilii?Akiweka nahama huko Gambosh nahamia Dsm Masaki.
Ni original
..... Capacitive touch screen
...... Inaplay CD DVD AUX MEMORY CARD FLASH na ina support blutooth
......Tupo Dar ses salaam, tunauza na kufungia wateja wetu kwa gharama nafuu
...... Tunatuma mikoani pia
CALL: 0679242855
Kaa baba, usubiri kutafutwaAliyeelewa atanitafuta