Raba kali ya Hyperdunk (nike) inauzwa

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,533
Reaction score
3,837
Raba kali ya mtumba inauzwa elfu themanini tu, ni namba 42.

Ina muonekano mzuri kabisa sawa na mpya. Angalia picha ukiipenda ni pm tufanye biashara
 
Attachments

  • 1449418343272.jpg
    43.5 KB · Views: 527
Raba kali ya mtumba inauzwa elfu themanini tu, ni namba 42.

Ina muonekano mzuri kabisa sawa na mpya. Angalia picha ukiipenda ni pm tufanye biashara

Magufuli anabana matumizi wewe unaongeza dah
 
Sasa hiyo unavaaje?!! Ka mgambo banah
 
Raba kali ya mtumba inauzwa elfu themanini tu, ni namba 42.

Ina muonekano mzuri kabisa sawa na mpya. Angalia picha ukiipenda ni pm tufanye biashara
Aisee jombaaa, hata unipe bure hiyo sivai.
 
Ngoja waje wanaozijua watashangaa hata bei hiyo ilivyo ndogo. we tulia hapo hapo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…