Wanaume tusipokuwa makini tuna kesi unforgivable siku ya kiyamaWalivyo sasa utafikiri wanataka kuchekesha comedy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume mna roho ngumu nyie
Hasa hasa lile jamaa na mwavuli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kuna mwanaume mwenye ujasili wa kuzibua mtaro kwa hayo majamaa..
Mtu wa hivyo angezaliwa middle east angekuwa IS
Sent using Jamii Forums mobile app
Wawapi hao??naunawaitaje wanaume ???Walivyo sasa utafikiri wanataka kuchekesha comedy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume mna roho ngumu nyie
Nimeweza kumtambua mmoja, wawili tu.
Kuna mwanamke wa hivyoo?
Mama Sabrina hum ndani hakuna mwanaume anaeweza kulanao .watu wahum wanajitambua sana.Kuna mwanamke wa hivyoo?
Wanaume nyie mnaolala nao mna roho ngumu
Jisemee wewe unamsemea kila mtu?Mama Sabrina hum ndani hakuna mwanaume anaeweza kulanao .watu wahum wanajitambua sana.
Sent using Jamii Forums mobile app