Nimefanya survey ofisini kwangu (ofisi yenye watu 65, nadhani ni wengi wa kutosha) na kukuta kwamba asilimia 70 yao wameoa, ama kuolewa na watu ambao kwa sasa wanajuta kuwa nao, japo siku za mwanzo walikuwa wanapendana!...Sad news... lakini ndo ukweli!
Wengi wao wanasema hawakujua tabia za wenza wao, na wakafanya mipango ya ndoa harakaharaka!
BAK, Sasa sijui hii thread inasaidia vipi watu ambao tayari wameshatumbukia kwenye ndoa za hivi...je kuna dawa?