Quickbooks Pro 2014 (USA) Zinauzwa

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Wadau,

Ninazo QuickBooks Pro za mwaka 2014 (USA), inapatikana ikiwa full package: Ina video za kuonyesha jinsi ya kutumia kuanzia ku-enter bills, pay bills, create invoices.... etc Pia ina keys zake. Ipo kwenye CD yake pamoja na kasha lake.

Kwa wasio ifahamu, hii ni njia nzuri ya bora, ya kisasa na salama ya utunzaji wa kumbukumbu zako za kifedha ni kwa kutumia software inayoitwa quickbooks, hauna haja ya kukaa na kuanza kuumiza kichwa kuangalia kilichoingia na kilicho toka. Unachokifanya wewe ni kuangalia report zako tu.

Baada ya kuingiza taarifa zako za kifedha kwa mwezi mzima, ukijaangalia report itakupa majibu yote. Hii software ni nzuri kuanzia wenye maduka madogo, wenye kampuni ndogo ndogo na aina yoyote ile ya biashara ambayo inaendeshwa kisasa. Huu ni wakati wa kuacha kutunza kumbukumbuku kwenye madaftari kwani ni rahisi sana kupoteza.

Gharama ya Quickbooks pamoja na video zake zote na keys ni sh. laki na ishirini tu. Kama unahitaji nitafute PM au wasiliana nami kupitia email yangu: tonyhaule@hotmail.com

NB: Ukinunua tatu kwenda juu nakuuzia kwa laki moja tu.
 
Mimi natumia Quick book 2011. Si iko sawa na hiyo?
 
ya mwaka 2014 ni maboresho ya mwaka 2011 hivyo haziwezi kuwa sawa mkuu.
Karibuni sana wakuu
 

Unamaanisha naweza kufanya installation mwenyewe?je pay roll imo pia?
 
Unamaanisha naweza kufanya installation mwenyewe?je pay roll imo pia?

ndio matitu , sisi tunakuuzia cd yenye kila kitu mpaka keys. Installation unaweza kufanya mwenyewe. Kama upo mkoani tunatuma kwa gharama zetu
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ni CD software aiseeee mimi
 
Naommba kueleweshwa mkuu coz hyo kitu nishakutana nayo Sana mitandaoni dzain km network marketing na hzo ndyo product. Zao nieleweshe km naweza kujitengenezea kipato
 
Naommba kueleweshwa mkuu coz hyo kitu nishakutana nayo Sana mitandaoni dzain km network marketing na hzo ndyo product. Zao nieleweshe km naweza kujitengenezea kipato

Hapana mkuu, hii sio network marketing bali ni software ya kutunza kumbukumbuku zako za kifedha kwa kampuni, biashara ndogo ndogo au hata wewe binafsi tu. Kama una biashara yako tumia software hii itakurahisishia mambo yako na hautajuta kuitumia. Karibu sana

Wasiliana nasi: tonyhaule@hotmail.com
 
Quickbooks yoyote ile ya usa itakupa tabu kwa matumizi ya tz maana mfumo wao wa vat ni tofauti na wetu. Ila ungekuwa na ya uk ingekuwa mwake. Mi natumia qb pro ya 2012, kama ungekuwacna 2014 ya uk basi ningekuja faster. Inaendana na utunzaji wetu wa kiswahili
 

Ya UK ipo ila yenyewe ni bei kidogo mkuu, ni USD 450. Unapewa siku tatu baada ya kuweka oda yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…