Wapo wanapitia ovulation,menstrual cycle na wapo wasiopitia vyote,inategemea na tatzo lake.Mfano,anaweza ovulate lkn Ovum ikawa na matatzo,anaweza pitia menstrual cycle lkn uterus inamatatzo.Nijuavyo mm inategemea mwanamke anatatzo gan ambalo linafanya step muhim ya kupata mtoto ishindikane kufanyika inavotakiwa.