quele quele love!

Halooooo kaoogee bishanga abashaija mimi yawezekana alikua kiwembe but ndo hatma kakutana nanguo ya chuma soo makali yote yameisha

Mnasemaga hivo hivo,vikitibuka mnakimbilia mmu.
Nikutafutie mtu mzuri jf?
 
Bishanga, ebu nyoosha kidole chako cha kati cha mkono wa kulia, kichovye kwenye asali then kirambe uone! Kama hutorudia kuchovya tena, basi ni lazima utarudia kukiramba kidole mara kumi kumi!! Lol

Umempa mfano muafaka na mahsusi , lakini usijeshangaa na wala mie sitomshangaa wakati anafanya zoezi hilo la kuramba asali, atalambia kidole cha kushoto!
 
hayo maneno tu bby wangu, hata kwenye kanga yapo, am only yours luv!
 
Bishanga, ebu nyoosha kidole chako cha kati cha mkono wa kulia, kichovye kwenye asali then kirambe uone! Kama hutorudia kuchovya tena, basi ni lazima utarudia kukiramba kidole mara kumi kumi!! Lol

am too young for this!!
 
Kwa hiyo nawe unasarandia yupi anaekupa mtihani, mbali na my wife wako??

Me ndiyo nasarandiwa, na mpango wa mi kusarandia haujagusa vijishipa vyangu vya fahamu.
Kwa huyu Nasty kata kauli garimoshi limefika Ujiji.
 
nimeridhika na banda la Asprinito! lako hilo peleka kwa The secretary! khaaaa!

huyu yetooo nimeshamzoea ndo maana ya open marriage ye agonganishe vikojoleo anakotaka mi nimejituliza kwa yeye kasuku sitaki maneno sitaki matata anachonipa kinanitosha.kuwa na Bishanga ni mtihani
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…